Yanga SC yatangaza tarehe mpya ya mkutano mkuu wa Wanachama
Klabu ya Yanga imetangaza mabadiliko ya tarehe ya mkutano mkuu wa wanachama ambapo sasa umepangwa kufanyika Juni 10, mwaka huu Awali mkutano huo, ulipangwa kufanyika Juni 17, lakini sasa mabadiriko hayo yanaurudisha nyuma kwa wiki moja Akiongea na mwandishi wa tovuti ya Kandanda Katibu wa matawi ya Yanga, Boaz Kifukwe,...