Wafahamu wababe wa Ulaya wanaokuja kuivaa Simba
Kwa sasa Sevilla ipo chini ya mwalimu Joaquin Caparros, wakiwa na nyota mbalimbali wanaowategemea kama Ben Yedder mwenye mabao 17 na nahodha wao Ever Banega.
Kwa sasa Sevilla ipo chini ya mwalimu Joaquin Caparros, wakiwa na nyota mbalimbali wanaowategemea kama Ben Yedder mwenye mabao 17 na nahodha wao Ever Banega.
Fuatilia sehemu ya kwanza ya mahojiano na Kelvin John, mchezaji wa timu ya taifa ya Tanzania kwa vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 (Serengeti Boys).
Kocha wa Arsenal Unai Emery amesema licha ya….Stori zaidi.
Kocha wa klabu ya soka ya Chelsea Maurizio….Stori zaidi.
Tovuti ya kandanda imekuandalia takwimu za kila mchezaji kuangalia timu anayotoka ipo katika nafasi ya ngapi kati ya timu ngapi, alama timu ilizonazo katika ligi husika. Adi Yusuph na John Bocco vinara katika timu zao.
Wadau wamehoji kwanini Kapombe kaitwa wakati ni majeruhi. Kandanda imepata ukweli wake.
Ilikuwa Simba wacheze na Yanga ili kufahamu nani atacheza na Sevilla lakini baada ya kuangalia mambo kadhaa wamekubaliana na SportPesa kuwa Simba ndio wanaopaswa kucheza na timu hiyo kutoka Uhispania.
Baada ya timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” kufuzu michuano ya Mataifa ya Africa tayari TFF imeshaanza maandalizi ili tuwe na ushiriki mzuri katika michuano hiyo.
Msemaji wa klabu kongwe nchini Dar Young Africans,….Stori zaidi.
Hili ni eneo ambalo Ammy Ninje ameahidi kulifanyia Kazi. Watahakikisha kuwa wanawekeza kuangalia vipaji bora ili viwepo kwenye timu.