Simba hata wakifungwa wanatakiwa kuwapigia makofi wachezaji.
Wanatakiwa kufa wakiwa wanatabasamu. Wamefanya kazi ambayo ni kubwa.
Wanatakiwa kufa wakiwa wanatabasamu. Wamefanya kazi ambayo ni kubwa.
Hata baada ya mazoezi kuisha wawili hao walionekana wakiwa pamoja kama wanajadili mambo huku wakionekana wenye hamasa.
Unatakiwa ujue kucheza ugenini. Hapa ndipo jina la Pierre Lenchantre linapokuja kichwani mwangu.
Ushindi wa Timu ya soka ya Taifa ya….Stori zaidi.
Zikiwa zimesalia siku 12 kabla ya michuano ya….Stori zaidi.
Simba inaenda kukutana Tp Mazembe katika mchezo wa kwanza jijini Dar es salaam huku ikiwa na kumbukumbu nzuri baada ya kuwafunga Wacongo wenzao AS Vita katika dimba hilohilo la Taifa.
Yanga ilifanikiwa kushinda kwa mikwaju ya penati, Kindoki akiibuka shujaa siku hiyo.
March 24 kua ni siku kuu ya furaha katika maisha yangu ya soka.
Yanga na Lipuli watakutana katika hatua ya nusu fainali baada ya Yanga kuitoa Alliance Schools kwa changamoto ya mikwaju ya penati.
Wapenda soka wa Tanzania wataikosa timu bora katika michuano hii ya kombe la shirikisho. Tupe maoni yako…