Uhamisho

Dondoo, Taarifa, Uchambuzi na Matukio yanayohusu uhamisho wa wachezaji Ligi zote Ulimwenguni

Ligi KuuUhamisho

Singida Utd yaweka hadharani usajili wake!

Klabu ya Singida utd leo imezungumza na waandishi wa habari na kufafanua mambo mbalimbali yanayohusu klabu kuelekea fainali ya Azamsports FederationCup itayopigwa June 2 Arusha katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Moja ya habari kubwa ni kuweka wazi usajili wao msimu ujao huku ikiwapiga bao Yanga kwa mnyakua winga wa...
Ligi KuuUhamisho

Adam Salamba amalizana na SimbaSc

Mshambuliaji wa Lipuli fc ya Iringa Adam Salamba ni rasmi sasa atajiunga na SimbaSc baada ya kukubali kusaini kandarasi na mabingwa hao wapya wa VPL. Mshambuliaji huyo anaesifika kwa matumizi ya nguvu amejiunga na klabu ya Simba kwa  mkataba wa miaka miwili huku akizoa donge la milioni 40 kwa kusaini...
Ligi KuuUhamisho

Marcel Kaheza na SimbaSc kwisha habari!

Mshambuliaji wa Majimaji Marcel Boniventure Kaheza "Rivaldo" mwenye mabao 13 katika VPL ni swala la muda tuu kupewa jezi ya Simba rasmi. Mchezaji huyo wa zamani Simba ni kama anarudi nyumbani baada ya kukitumikia kikosi hicho alipokua kinda akiwa Simba B, kabla ya kutolewa kwa mkopo kwenda Majimaji ilipopanda daraja...
Ligi KuuUhamisho

Mo Ibrahim kwenda Yanga kwa mkwanja mrefu!

Kiungo mshambuliaji wa Simba Mohamed Ibrahim "Mo" anakaribia kujiunga na Yanga sc akitokea kwa mahasimu wao  Simba sc mwishoni mwa msimu huu. Mkataba wa Mo Ibra na Simba unaisha mwisho wa msimu huu hivyo yupo huru kuongea na timu yoyote inayotaka huduma yake. Na hivyo kuipa nafasi klabu ya Yanga ...
Uhamisho

Donald Ngoma rasmi Azam!

Baada ya kuvunja mkataba wake na klabu ya Yanga kutokana na kutokuitumikia kwa muda mrefu mshambuliaji Mzimbabwe Donald Ngoma ni rasmi sasa amejiunga na klabu ya Azam fc kwa mkataba wa mwaka mmoja. Tovuti hii mwanzo iliandika tetesi za mshambuliaji huyo kujiunga na Wanalambalamba hao lakini sasa ni rasmi amesajiliwa...
Ligi KuuUhamisho

Ngoma, Pluijm kukutana Chamazi

Taarifa zinaeleza kuwa matajiri wa Azam FC, wamemalizana na aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga SC, Donald Dombo Ngoma kwa kumsainisha mkataba wa mwaka mmoja Mwanzoni mwa juma lililopita ililipotiwa kuwa, Yanga imesitisha mkataba wa mshambuliaji huyo kutokana na kuwa majeruhi wa muda mrefu hali iliyopelekea kushindwa kupata huduma ya mchezaji huyo...
EPLUhamisho

Wayne Rooney anaelekea kustaafu.

Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Manchester United, Wayne Rooney, aliecheza kwa mfanikio katika klabu hiyo kabla ya kurudi tena katika klabu yake ya awali ya Everton FC, anatarajia kwenda marekani. Imeripotiwa na skysports.com kuwa kwa sasa yupo katika mazungumzo na klabu ya DC United  yenye makazi yake pale Washington DC. Wayne...
Uhamisho

Rasmi, Ulimwengu ajiunga na Al Hilal ya Sudan

Klabu ya soka ya Al Hilal ya Sudan kupitia ukurasa wao wa Facebook, imethibitisha kumnasa mshambuliaji wa Tanzania Thomas Ulimwengu ambaye hakuwa na timu kwa kipindi kirefu sasa toka avunje mkataba na AFC Eskilstuna ya Sweden kutokana na kukumbwa na majeraha ya mara kwa mara. Al Hilal wamesema kuwa mchezaji...
1 17 18 19 20 21 22
Page 19 of 22