StoriPesa na Kipaji? Vyote ni Muhimu.Tigana Lukinja6 months agoTunahitaji mpango wa mafanikio wa timu zetu kipitia vipaji vya wachezaji wengi ambao wanasajiliwa.
BlogTuache ‘ushamba’, kiatu hakiwezi kuwa gumzo!KandandaChat5 years agoKwa wanaosema Ever Barnega ni mchezaji wa kawaida, wajue tu kuwa Leo Messi ana jezi ya Lanzine sasa sijui Barnega na Lanzini nani ni mchezaji maarufu na mkubwa.
Mabingwa AfrikaSimba inahitaji Shujaa mpya ili kuishinda Vita!Thomas Mselemu5 years agoSio hao tuu lakini kina Wawa na Juuko wakati wa mipira ya adhabu na kona mkivitumia vichwa vyenu kwa ufasaha zaidi
Ligi KuuBaada ya Chanongo, Ubwa na Ndemla, Salamba atapotezwa.Baraka Mbolembole5 years agoWako wapi, Abuu Ubwa na Haruna Chanongo? Kwanini Said Ndemla bado anaendelea kuchezea Simba SC wakati iliripotiwa alifuzu majaribio yake...
BlogWachezaji watano ambao wanatakiwa kupambana au kuondoka SimbaMartin Kiyumbi6 years agoNdiyo mabingwa watetezi na wawakilishi wa Tanzania katika michuano ijayo ya CAF. Walifanya usajili, usajili mkubwa kitu ambacho ni kizuri...
SportpesaUsajili Simba hamna kituu!Thomas Mselemu6 years agoPamoja na kufanikiwa kuingia fainali ya michuano ya Sportpesa Supercup nchini Kenya baada ya kuwafunga wababe wa Yanga Kakamega Homeboys...
Ligi KuuUhamishoAdam Salamba amalizana na SimbaScThomas Mselemu6 years agoMshambuliaji wa Lipuli fc ya Iringa Adam Salamba ni rasmi sasa atajiunga na SimbaSc baada ya kukubali kusaini kandarasi na...
Ligi KuuUhamishoTumkumbushe Salamba anaweza kuwa Simba au akamezwa na Simba.Martin Kiyumbi6 years ago"Kwa mara ya kwanza nimemuona namba 9 halisi" haya ni maneno ya kocha wa Mbeya City , Ramadhani Nswazurimo baada...
Ligi KuuAzam waingia vita ya kumnasa Salamba, Lipuli wathibitishaIssack John6 years agoKlabu ya soka ya Lipuli imethibitisha kupokea barua kutoka katika vilabu viwili vikubwa vya Young Africans na Azam FC za...
Ligi KuuLipuli: Bado tunamipango na Adam SalambaIssack John6 years agoUongozi wa klabu ya soka ya Lipuli ‘Wanapaluhengo’ umekanusha taarifa za kupokea maombi kutoka katika klabu ya Dar Young Africans...