akifanya vizuri kwa nafasi yake na mimi nitakuwa nimefanya vizuri, mimi nikifanya vizuri kwa nafasi yangu, naye atakuwa amefanya vizuri kwa kuwa wote lengo letu ni kuifikisha Simba kule inakokutaka..”
Tovuti ya kandanda imekuandalia takwimu za kila mchezaji kuangalia timu anayotoka ipo katika nafasi ya ngapi kati ya timu ngapi, alama timu ilizonazo katika ligi husika. Adi Yusuph na John Bocco vinara katika timu zao.