Rekodi zake ndani ya klabu hiyo ni nzuri kwani alishawahi kuifungia klabu hiyo magoli 126 katika mechi 366 alizocheza kuanzia mwaka 1996 hadi mwaka 2007.
Mwaka 2018, Ronaldo ndiye aliyekuwa binadamu mwenye wafuasi wengi zaidi katika mtandao wa Instagram. Alikuwa na followers 144,482,390. Hivi mchezaji mwenye mashabiki wengi hivi unadhani ni ngumu kupata
Toka mwaka aliosajiliwa yaani 2013, Fellaini amekuwa si chaguo la mashabiki wa Manchester United licha ya makocha wote watatu David Moyes, Louis Van Gaal na Jose Mourihno wakimtumia katika mechi muhimu
Hapa ndipo alipofanikiwa, aliweka sumu kali sana. Sumu ambayo iliwafanya wachezaji wawe na uwezo wa kupigana sana.Leo hii vizazi vinaikumbuka Fc Porto ya Jose Mourinho. Timu ambayo ilikuwa haitazamwi kwa kiasi kikubwa.
Mourinho ambaye alianzia kazi ya Umeneja kwenye klabu hiyo ya Ureno kwa kuiongoza michezo 11 na kushinda michezo sita alikuwa akitajwa zaidi na vyombo vya habari vya Ureno kurithi nafasi hiyo
“Usiku wa deni haukawii kuisha” hivi ndivyo kochawa Manchester United Jose Mourinho alivyokuwaakisubilia hatma yake katika klabu hiyo ya mashetani wekundu baada ya matokeomabovu katika ligi na klabu bingwa barani ulaya. Hatimaye imethibitishwa kuwakocha wa mabingwa wa Europa msimu wa 2016/17 ametimuliwa rasmi.
Katika ulimwengu wa Soka, ukisikia jina la “Jose Mourinho” kuna picha nyingi zinakujia kichwani, napicha hizo zinategemeana na jinsi unavyomkumbuka mreno huyo kwa kile alichoifanyia timu yako au kwa jinsi unavyolijua soka la dunia tangu akiwa Fc Porto na vilabu vingine.