archiveJuventus

eplla ligaserie aUEFA

England ndiye mfalme wa Ulaya.

Kwa mara ya kwanza baada ya Miaka kumi, nchi moja imefanikiwa kuingiza timu nne kwenye hatua ya robo fainali ya ligi ya Mabingwa barani Ulaya, baada ya usiku wa kuamkia leo Liverpool kuungana na Manchester United, Tottenham Hotspurs na Manchester City kwa ushindi wa mabao 3-1 ugenini dhidi ya Bayern...
UEFA

Kiatu cha mfungaji bora klabu bingwa Ulaya nampa huyu hapa.

Ikiwa ni hatua ya 16 bora ya mashindano ya klabu bingwabarani Ulaya, tukishuhudia vilabu vyaAjax, Atletico, Barcelona, Bayern Munich, Dortimond, Juventus, Liverpool naLyon zikifuzu kwa kuongoza katika makundi yao huku Man City, Man U, PSG, Porto, Real Madrid,Roma, Schalke na Tottenham nazo zikiungana katika hatua hii zikiwa katikanafasi ya pili.
UEFA

UCL: Manchester United kumkosa Sanchez wakikwaana na Juventus.

Mshambuliaji kutoka nchini Chile Alexis Sanchez hatokua sehemu ya kikosi cha Manchester United katika mchezo wa mzunguko wa tatu wa ligi ya mabingwa barani Ulaya hatua ya makundi dhidi ya mabingwa wa soka nchini Italia Juventus FC. Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 29, kwa mara ya mwisho alionekana katika...
uhamisho

PSG wajitosa kusaka saini ya mkongwe Buffon!

Mlinda mlango mkongwe wa Juventus na timu ya Taifa ya Italia Gianluigi Buffon amehusishwa na kujiunga na klabu ya soka ya Paris Saint-Germain ya Ufaransa. Kwa mujibu wa mtandao wa habari za michezo wa Sky ni kuwa Kipa huyo mwenye umri wa miaka 40 baada ya kuondoka Juventus anaweza kujiunga...
UEFA

Mambo 7 muhimu kuhusu mechi za nusu fainali UEFA

1:Kuna ligi tano bora ambazo UEFA wameziweka katika daraja la juu, Ligi kuu ya Hispania (La Liga) , Ligi kuu ya England (EPL), Ligi kuu ya Ujerumani (Bundesliga) , Ligi kuu ya Ufaransa (Ligue one) na Ligi kuu ya Italy(Seria A). Ni aghalabu sana kushuhudia ligi hizi zikitoa kila mmoja...
UEFA

Buffon nisome na kunielewa mimi

Kila mtu anamuonea huruma na kuna wakati mwingine huruma hizi zinaenda sambamba na sifa nyingi kuhusu kipaji chake. Golikipa aliyedumu kwa muda mrefu tena kwenye kiwango chake bila kutetereka, miaka 40 inasomeka kwenye paji lake la uso lakini anadaka mipira ya mashuti ya vijana wa miaka (20-29) Kuna wakati mwingine...
UEFA

Ronaldo alisimama kwenye ngazi ya Zidane

Timu zote zilikuwa zinacheza mfumo wa 4-4-2 lakini kwenye maumbo ya mifumo ndiyo zilikuwa zinatofautiana. Real Madrid ilikuwa inacheza 4-4-2 Diamond na Juventus ilikuwa inacheza 4-4-2 katika umbo la flat? Ronaldo akifunga bao Upi uimara na udhaifu katika mifumo hii kwenye mechi ya jana? Massimiliano Allegri alionekana kuzidiwa kwenye mbinu...
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz