Klabu ya soka ya Yanga imeonyesha kusikitishwa na kuomba radhi kutokana na vitendo hivyo vya kocha wao. Yanga imemaliza Ligi ikiwa nafasi ya pili nyuma ya Simba sc.
Luc Aymeal amekiri Yikpe alikua mchezaji mzuri alipokua Gor Mahia lakini haelewi ni kipi kimemkuta nyota huyu mwenye mwili jumba mpaka kushindwa kutamba akiwa na Yanga