Mshindi wa michuano hiyo ndio ataiwakilisha nchi katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika. Hivyo ni wazi vilabu vya Azam Fc na Singida Big Stars vitaendelea kukabana koo ili kupata ushindi na kupata nafasi ya kuwakilisha nchi Kimataifa
Shirikisho la soka nchini linatarajiwa kuendesha droo ya robo fainali pia kutaja uwanja utakaotumika katika michezo ya fainali na nusu fainali mapema mwezi huu.
Pia msemaji wa kampuni ya Parimatch amesema wapo katika mazungumzo na vilabu vya Championship ili kutoa udhamini zaidi lakini pia wapo katika mazungumzo na Bodi ya Ligi.
IJUMAA Tar 28 August 2020 tumeingia rasmi makubaliano ya mkataba wa udhamini wa Klabu ya Jiji la Mbeya ‘Mbeya City’, ambayo inashiriki michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara katika msimu huu wa 2020/2021.