bila kusahau mashabiki wote wa Ruangwa waliokua wakitupa hamasa na support iliyotuwezesha kufikia malengo ya klabu. Nawatakia kila la kheri Mungu awabariki katika msimu ujao.
hakumaliza msimu vizuri na klabu yale ya Lipuli baada ya kutofautiana na uongozi na hivyo kupelekea kushindwa kujiunga na timu kumalizia Ligi baada ya mapumziko ya ugonjwa wa corona kumalizika.
Mara ya mwisho kwa Namungo FC kufungwa ilikuwa dhidi ya Simba kwenye uwanja wa Taifa walipofungwa magoli 3-2 . Tangu hapo wamepitia mechi 19 bila kufungwa na leo watakuwa wanatafuta mechi ya 20 bila kufungwa.