TetesiWababe wa Simba wakataliwa kwa Mayele!Thomas Mselemu2 months agoKwa hakika nimekua nikipokea ofa kutoka nchi mbalimbali Afrika wakimuulizia Mayele.
Shirikisho AfrikaMoto wawaponza Simba CAF.Thomas Mselemu3 months agoSimba iatapaswa kulipa pesa hizi ndani ya siku 60 tangu kutoka kwa hukumu hiyo, lakini pia wana siku tatu za kukataa rufaa.
Mabingwa AfrikaVigogo wa Afrika wanalakujifunza kwa Simba hii!Thomas Mselemu3 months agoSimba licha ya kutolewa katika robo fainali ya klabu bingwa Afrika mara mbili na Shirikisho mara moja lakini bado hakupoteza nyumbani
Shirikisho AfrikaChama cha Soka Afrika Kusini waishtaki Simba CAF.Thomas Mselemu3 months agoNa ina uwezo wa kuharibu uwanja na tunaamini haikuwa kwa njia yoyote inayohusiana na michezo
Shirikisho AfrikaKiongozi Simba: Pablo haendi popote, tuna ofa kibao za wachezaji wetuThomas Mselemu4 months agoHizi taarifa za kocha sijui mmezitoa wapi. Hakuna tasarifa yoyote ya klabu iliyosema kuhusu kumfukuza kocha
Shirikisho AfrikaMwenyekiti: Simba tunastahili pongezi, ule haukua moto.Thomas Mselemu4 months agoKwenye ile video mimi binafsi sikuona moto labda tuu kuna picha zilizotengenezwa zinasambaa.
Shirikisho AfrikaHamkutaka tumkokee moto babu yetu Onyango!?©️Mdidi the Writer4 months agoCAF wanatakiwa watoe adhabu kwenye haya Mambo kama inavyofanya TFF
Shirikisho AfrikaKiongozi: Simba hatujarudi nyuma.Thomas Mselemu4 months agoMsimu wa tatu tunaishia robo fainali inaumiza lakini kwa upande mwingine inatia matumaini na faraja kwamba tunamaintain ubora wetu
Shirikisho AfrikaMpira wa Afrika na mauzauza yake kwa Simba!©️Mdidi the Writer4 months agoHawa Wachambuzi wa Mpira wa Nchi hii kila mtu ana namna yake ya kujitafutia Ugali wake! Wengine wanatafuta kwa njia za kawaida wengine wanatafuta kwa njia ya kuchafua taswira ya wengine
Shirikisho AfrikaUkweli ni kwamba Simba uwezo wao ni robo fainali!Mwandishi Wetu4 months agoUmemfikiria Luis Miquissone ??umemfikiria Clotaus Chama?? umemfikiria Okwi?? unawafikiria lakini?? nauliza umewafikiria hao watu,je? ni team gani Tanzania wachezaji hao watakaa benchi??