UhamishoNonga apiga U-Turn kaliThomas Mselemu4 years agoHuyu ni mshambuliaji makini na hatari, akiwa amefunga mabao 10 katika msimu uliopita wakati akiwa na Lipuli FC.
TetesiNamungo yavamia tena Lipuli!Thomas Mselemu4 years agohakumaliza msimu vizuri na klabu yale ya Lipuli baada ya kutofautiana na uongozi na hivyo kupelekea kushindwa kujiunga na timu kumalizia Ligi baada ya mapumziko ya ugonjwa wa corona kumalizika.
Ligi KuuKwa misimu miwili wageni wanakimbiza ufungaji!Thomas Mselemu4 years agoHuku namba wachezaji wa kigeni waliofanya vizuri katika ufungaji wa mabao wakiwa wameondoka nchini kina Emmanuel Okwi na Heritier Makambo.
BlogMsimu huu Lipuli lazima tubebe kombe la FAMartin Kiyumbi5 years ago"Wanasema ukishindwa kujipanga basi umejipanga kushindwa, sisi tumejipanga kushinda kabisa msimu huu.
ASFCUshindi raha, kuifunga Yanga raha maradufu!Thomas Mselemu5 years agoMagoli ya Lipuli yalifungwa na Paul Nonga na mshambuliaji aliyeitwa kwa mara kwanza katika kikosi cha Stars, Miraj Athumani.
BlogNonga apewa mtaa.Thomas Mselemu5 years agoDeni hili kubwa kwa mshambuliaji wa Lipuli Fc, Paul Nonga, limewekwa katika moja ya mtaa mjini Shinyanga.