Nyota watakaompisha Ten Hag United wakiongozwa na Pogba
Pengine moja ya majina ya kushangaza zaidi ya wababe hao wa Uingereza wanasemekana kuwa tayari kuondoka katika klabu hiyo ni mhitimu wa akademi
Pogba: Naenjoy soka United!
"Unaweza kusema kwamba timu imebadilika sana. Tunacheza kama timu kuliko vile tulivyofanya hapo awali
Pogba atacheza na Fernandes!
Stam pia hakusita kutamani kuona muunganiko wa Pogba, Mac Tominay na Bruno katika eneo la kati la United.
Man Utd iliyobadilika inakutana na FC Barcelona
Ni wachezaji watatu tu bado wapo na klabu ya Man Utd wakati Fc Barcelona ikikutana na Man Utd jumatano hii ambao walikuwepo mara ya mwisho.
Hawa ndio nyota sita, wanaoondoka Manchester United.
Klabu ya soka ya Manchester United ipo mbioni kuwaachia nyota wake sita katika kipindi cha majira ya joto kutokana na...
Tatizo gari alilopanda Pogba, Dereva ni Raiola!
Pesa zilianza kumzoea mapema sana. Hakuweza kukaa bila na pesa yoyote mfukoni mwake tangu akiwa mtoto. Kwake yeye pesa kilikuwa...
Vitendo vya ubaguzi vyaiponza Urusi.
Shirikisho la soka Ulimwenguni (FIFA) limeipiga faini ya zaidi shilingi Milioni 68 Shirikisho la Soka la Russia kutokana na mashabiki...