Polisi: JKT hawapati kitu.
burudani kwa mashabiki wake ambao tangu msimu huu uanze hawajaiona timu yao na pia hawajawaona wachezaji wao wapya.
Rashid Juma wa Simba mikononi mwa Polisi
Rashid Juma ni zao la Simba B ambapo alifanya vizuri akiwa chini ya Mwalim Mussa Hassan Mgosi na kupelekea kupandishwa kikosi cha wakubwa kilichokua chini ya Patrick Auseems
Polisi nao wadai walipuliziwa dawa na Simba.
Walianza wao kufunga goli kipindi cha kwanza , goli ambalo liliwapa nguvu kubwa sana ya kutawala mchezo wa jana kwa dakika nyingi , Lakini dakika 5 za mwishoni zilileta maumivu na machozi.
Polisi Tanzania yamnasa kipa wa Simba!
Mlinda mlango huyo aliekua ametimkia nje ya nchi kunako klabu ya Ligi Kuu nchini Kenya.