Yanga haiongozwi na mtu mmoja -SENZO
Maamuzi hufanywa kwa ushirikiano wa mwenyekiti wa klabu , kamati tendaji na wadhamini
Safari hii Yanga itampita mtani wake, Simba itapotezwa vibaya.
Kuna ukweli ambao mashabiki wa Simba hawatokuwa tayari kuusikia. Ukweli ambao utaonekana ni mchungu sana kama ukitokea kwenye macho yao ya nyama.
Naenda kuibadilisha YANGA- Senzo
Aliyewahi kuwa mkurugenzi mtendaji wa klabu ya Simba Senzo Mbatha amerudi Tanzania akitokea nyumbani kwao Afrika kusini. Mtandao huu ulikuwepo...
MO-Dewji ni muongo
"Tuliandaa bajeti ya msimu mzima , na mimi nikawa nafanya kulingana na bajeti iliyopo
Mo: Namtakia kila la kheri Senzo
Niwahakikishie wana Simba ni taasisi kubwa kuliko mtu yoyote. Tutapata Mtendaji mwingine mzuri zaidi na shughuli zitaendelea kama kawaida"
Sikuwa na furaha Simba- SENZO
"Sijutii uamuzi wangu . Nasonga mbele hata siku moja sijutii uamuzi wangu kwa sababu nilikaa chini na kutafakari kwa muda mrefu
Luis Miquissone ni mchezaji wa Simba-SENZO
Baada ya kuwepo na taarifa za hali ya sintofahamu kuhusu mkataba wa Luis Miquissone mchezaji raia wa Msumbiji, mtandao huu...
Fraga ni kipimo halisi cha umakini wa Simba ya Senzo!
Simba walimuacha okwi, James kotei Chuma, kipenzi cha Mashabiki, leo baadhi yao wanajutia uamuzi ule, kwanini kesho waruhusu Fraga aondoke?
Simba yazindua tovuti yake rasmi!
Nae msemaji wa klabu ya Simba hakusita kuisifia tovuti yao na kuzungumzia ni rekodi klabu yake hiyo kumilki tovuti katika ukanda huu wa Afrika Mashariki.
Saa saba ya Simba imejibu!
Kama klabu tunafanya mipango yetu lakini hatuwezi kusema kila kitu. Hata hao wengine pia tunaangalia uwezekano wa kua nao."