Kiungo wa Simba amwaga wino Namungo fc
John Mbise pia amepitia vilabu mbalimbali kama Mshikamano fc, Dodoma fc na Friends Rangers kwa nyakati tofauti.
John Mbise pia amepitia vilabu mbalimbali kama Mshikamano fc, Dodoma fc na Friends Rangers kwa nyakati tofauti.
Nani kutangazwa kwaajili ya kujiunga na Klabu ya Simba SC? Fuatilia hapa pia mara tu atakapotangazwa, tutamuongeza katika kikosi.
Anaitwa Gerson Fraga Vieira (kazaliwa tarehe 4 Oktoba 1992), unaweza muita Gerson pia, ni Mbrazili anayecheza soka la kulipwa nchini India katika klabu ya ATK, akicheza nafasi ya beki.
Simba inaendelea kujiimarisha kwaajli ya Ligi ya Mabingwa msimu pamoja na Ligi kuu. Huenda ikaleta sura mpya nane kutoka nje.
Winga huyo amewahi kuchezea timu ya vijana ya Simba sc hapo kabla, na amekuwa nguzo muhimu katika kampeni ya Ligi Kuu msimu uliopita kwa upande wa Lipuli Fc.
Simba inaendelea kufanyia kazi mapendekezo ya kocha wao mkuu, na imeshaanza usajili wa kuleta ushindani msimu ujao.
Ni jana tu Simba ilitoa picha wakimsaini John Bocco, na leo wataendelea kutoa zaidi. Je Bocco anaweza kwenda kucheza nje?
Akizungumza na mtandao huu mtendaji mkuu wa klabu ya Simba, Bwana Magori amedai kuwa leo kutakuwepo na tangazo jipya la mchezaji.
Nidhamu nje ya uwanja imekuwa silaha kubwa kwake yeye kufanya vizuri ndani ya uwanja. Nini wachezaji wetu wanahitaji kujifunza kutoka kwa Kagere?
Ikumbukwe pia klabu ya Yanga ilipata mwaliko katika michuano hii na kuupokea kwa furaha zaidi.