Haji Manara alikuwa sahihi kwenda na TV kwenye Press
Unakumbuka tukio la Haji Manara kwenda na TV kwenye mkutano wa waandishi wa habari(press conference?)
Unakumbuka tukio la Haji Manara kwenda na TV kwenye mkutano wa waandishi wa habari(press conference?)
Tumejifunza na tunataka kuwaonesha Simba kwa sasa uwanja huu na tutafanya vizuri kwenye mechi hii inabidi wajiandae.
Sevilla ina nyota kama Ben Yeder, Jesus Navas na Ever Banega wanaotamba Laliga.
Kwa maana hiyo basi klabu ya Simba imevizidi vilabu vikubwa Africa Mashariki na kati kama Gor Mahia na Tusker (Kenya), APR na Rayon Sports (Rwanda), SC Villa na URA (Uganda) Yanga sc na Azam fc vya hapa nyumbani.
Simba walitolewa katika mashindano ya Klabu Bingwa Afrika katika hatua ya robo fainali, baada ya kufungwa bao 4-1 na TP Mazembe
Simba inahitaji kupata sare ya magoli au ushindi wa aina yoyote kwenye mechi ya marudiano .
Simba inaondoka leo hii kuelekea Lubumbashi nchini Congo….Stori zaidi.
John Bocco alikosa penati muhimu wakati Simba ilipoikaribisha TP Mazembe jijini Dar es Salaam.
Mfumo huu hutegemea utimamu wa viungo watatu wa kati ili kuleta “fluidity na Flexibility” ya timu . Timu itakuwa na uwezo wa kumiliki mpira, kukaba na kuufikisha mpira eneo wanalotaka.
TP Mazembe chini ya kocha Pamhile Mihayo Kazembe, inashika nafasi ya 2 katika msimamo wa Linafoot ikiwa na alama 58 wakicheza michezo 23 nyuma ya vinara AS Club Vita wenye alama 65 katika nafasi ya kwanza wakicheza michezo 25.