Hii itakuwa fainali ya pili mfululizo kwa Wydad na ya tatu dhidi ya Al Ahly, msimu uliopita wawili hao walikutana na Wydad waliibuka washindi kwa na kutwaa kombe hilo.
Sasa Mbelgiji huyo anakibarua chakutetea taji la Ligi ya Mabingwa Afrika lakini pia na taji la Ligi Kuu ya Morocco Batola Pro ili kukifanya kibarua chake kua salama zaidi.
"Sven Van Den Broeck alituma maombi ya kazi kwetu Baada ya Mwinyi Zahera kutimuliwa , sisi tulimkataa na tulimpomkataa aliamua kuomba kazi kwenye klabu ya Simba Baada ya sisi kumkataa".