Etienne kukabidhiwa Stars, Azam wagutuka.
Mirambo amesema kuna orodha ndefu ya makocha ambao wanaitaka kazi hiyo, na Ettiene ni mojawapo wa watu wanaoangaliwa na Shirikisho ili kupata nafasi hiyo.
Mirambo amesema kuna orodha ndefu ya makocha ambao wanaitaka kazi hiyo, na Ettiene ni mojawapo wa watu wanaoangaliwa na Shirikisho ili kupata nafasi hiyo.
Kutakuwa na makundi 10, kundi letu litakuwa na timu nne, tutacheza mechi 6, tatu ugenini na tatu nyumbani. Mechi hizi zinahitaji mbinu za uwanjani na hata nje ya uwanja. Waokota mipira ni sehemu ya mashambulizi na ulinzi wa Stars.
Tanzania, Taifa Stars, itaanza kampeni yake ya kutafuta Tiketi ya kombe la dunia 2022 dhidi ya Burundi, pitia kuwafahamu wachezaji hatari
Mane atacheza mechi mbili zitakazobaki baina ya Algeria na ya mwisho dhidi ya Kenya.
Kitu muhimu cha kujiuliza, pesa hizo zimefanya nini katika soka letu? Majibu pia utayapata hapa hapa.
Fuatilia hapa dondoo za makundi ya AFCON U17 2019. Shughuli hii inaletwa kwenu moja kwa moja kutoka Mlimani City, Dar es Salaam.
Jana timu ya taifa ya Tanzania ilikuwa uwanjani….Stori zaidi.
Kuna vitu vingi sana vya kuvutia katika dunia….Stori zaidi.
Zanzibar ndipo kitovu chake kilipozikwa, kitovu ambacho kilikuwa….Stori zaidi.
Fikiria neno “hatua” ni neno dogo lakini ndilo….Stori zaidi.