Mashabiki wa Simba nitawaumiza sana ,
“Mashabiki wanakuja uwanjani kuona timu yao inashinda, ndio maana wanalipa viingilio…”
“Mashabiki wanakuja uwanjani kuona timu yao inashinda, ndio maana wanalipa viingilio…”
Zimebaki asilimia 10 tu kwa Libya kuipiku Tanzania….Stori zaidi.
Ligi kuu Tanzania bara inazidi kuendelea kwa kasi….Stori zaidi.
Kuna wakati Yanga walimwihitaji sana Emmanuel Okwi. Uzuri ni kwamba wakati huo ndiyo ulikuwa wakati ambao Yanga wangefanya chochote bila klabu yoyote kuizuia Yanga.
Maisha ndiyo yalivyo , hayakupi unachokitamani ila yanakupa unachopigania .
Baada ya tetesi nyingi hatimaye Mbwana Samatta amewaaga….Stori zaidi.
Eneo hili limeficha sana uwezo wake halisi. Uwezo ambao alitakiwa auoneshe Katika eneo lingine kabisa.
Hawa ni aina ya wachezaji ambao walikuwa wanafunga kwa kutokea pembeni , aina ya mchezo wa Yanga.
Simba wamewazidi tena kwa Mara ya pili kwenye dirisha hili dogo la usajili. Kwa miaka ya hivi karibuni Simba imekuwa ikiwazidi Yanga kwenye usajili dakika za mwisho.
Leo kulikuwa na mchezo wa ligi kuu kati….Stori zaidi.