Martin Kiyumbi

Mchambuzi
Mchambuzi wa mpira wa miguu, mwenye Shahada ya Ualimu. Martin amejiunga na timu ya kandanda toka mwaka 2017, moja kati ya wachambuzi wakongwe katika familia yetu.
Tetesi

Fei Toto kwenda Azam FC

Baada ya kuendelea kufanya usajili kwa ajili ya kujiimarisha na ligi kuu Tanzania bara msimu ujao kwa kuwaleta wachezaji nyota ndani ya kikosi cha Azam FC. Mpaka sasa hivi Azam FC wamefanikiwa kupata saini ya kiungo aliyekuwa anachezea Kagera Sugar Awesu Awesu , kiungo ambaye alikuwa anawaniwa na mabingwa wa...
Uhamisho

Mwamunyeto anaweza akafanya vibaya Yanga

Dau la milioni 250 limemtoa Bakari Nyundo Mwamunyeto kutoka Coastal Union kwenda Yanga. Dau ambalo ni kubwa , ukubwa wa dau hili unakuja kwa mchezaji ambaye ni mzawa. Ilikuwa ni ngumu sana kwa kipindi cha nyuma kuona mchezaji mzawa akisajiliwa kwa kiasi kikubwa cha pesa. Kwa dau hili linamfanya Bakari...
Uhamisho

Bakari Mwamunyeto, beki ghali Tanzania

Jana Yanga imekamirisha usajili ambao ulikuwa unasubiriwa kwa hamu wa beki kisiki wa Coastal Union na timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Bakari Nondo Mwamunyeto. Beki huyo ambaye alikuwa anawaniwa pia na mahasimu wakubwa wa Yanga ambao ni Simba. Yanga imewazidi Simba kwenye mbio hizi na kuhakikisha kuwa wamempata...
Tetesi

Tshishimbi arudisha pesa za GSM

Bado sakata la Papy Kabamba Tshishimbi na klabu yake ya Yanga linazidi kupamba moto. Nahodha huyo wa Yanga mkataba wake unaisha mwezi huu na hakuna taarifa sahihi ya yeye kuongeza mkataba mpya na klabu yake hiyo. Wiki hii kaimu katibu mkuu wa Yanga , Patrick Saimon alidai kuwa wamempa Papy...
Ligi Kuu

Kwa usajili huu wa Yanga, Msimu ujao Simba hana chake.

Klabu ya Yanga inaendelea na usajili wake wa kujiimarisha zaidi kwa ajili ya msimu ujao wa ligi kuu Tanzania bara. Mpaka kufikia jana klabu ya Yanga ilidhibitisha kumsajili Gift Mauya kutoka katika klabu ya Kagera Sugar. Yanga mpaka sasa hivi inaendelea na usajili wa wachezaji ambao wanaonekana ni nyota na...
Uhamisho

Ni hasara kwa Simba kumsajili TSHISHIMBI

Kumekuwa na mgogoro kati ya uongozi wa Yanga pamoja na kiungo wao ambaye ni nahodha wa timu hiyo Papy Kabamba Tshishimbi. Mgogoro huu unatokana na pande zote mbili kuvutana kuhusiana na suala la kuongeza mkataba mpya. Mkataba kati ya Papy Kabamba Tshishimbi na Yanga unamalizika tarehe 12/08/2020 . Uongozi wa...
Uhamisho

Azam yamtema golikipa wao, Razack Abarola

Klabu ya soka ya Azam FC imeamua kuachana na golikipa wa kimataifa kutoka Ghana , Razack Abalora. Golikipa huyo amedumu na kikosi hicho kwa muda wa misimu mitatu huku akiidakia Azam FC kwa kiwango kikubwa. Katika nyakati zake wakati akiwa Azam FC aliiwezesha Azam FC kushinda kombe la Kagame Cup...
Tetesi

Yanga yamtaka SUREBOY

Baada ya kuonekana kuzidiwa kete na Azam FC kwenye usajili wa kiungo wa zamani wa Kagera Sugar , Awesu Awesu , Yanga imeamua kuhamia kwa nahodha msaidizi wa Azam FC Abubakar Sureboy . Kiungo huyo mshambuliaji amekuwa na timu ya Azam FC tangu daraja la kwanza mwaka 2008 mpaka msimu...
Uhamisho

Azam fc yawazidi Yanga kwa Awesu

Klabu ya soka ya Azam FC imefanikiwa kumsajili kiungo Awesu Awesu kutoka Kagera Sugar. Mchezaji huyo amejiunga na klabu ya Azam FC kwa mkataba wa miaka miwili. Awali kulikuwa na taarifa ya Yanga kumwihitaji Awesu Awesu lakini inavyoonekana Azam FC imeshinda mbio hizi za kumsajili Awesu Awesu. Awesu Awesu aliwahi...
Blog

Morrison akamatwa na Polisi

Mshambuliaji wa Yanga leo amekamatwa na jeshi la polisi baada ya kukutwa na kosa ambalo lilisababisha akamatwe. Taarifa hii imedhibitishwa na kamishna msaidizi mwandamizi wa jeshi la polisi na kamanda wa polisi Kinondoni. Kamishna msaidizi mwandamizi wa jeshi la polisi na kamanda wa polisi Kinondoni Rodgers Bukombe amesema "Morrison alikamatwa...
1 4 5 6 7 8 79
Page 6 of 79