Anayestahili kuwa nahodha wa Yanga huyu hapa.
Yanga bado ipo katika maandalizi ya msimu wa Ligi Kuu Tanania bara na michuano mingine ya kimataifa. Nani anafaa kuwa nahodha wa timu?
Yanga bado ipo katika maandalizi ya msimu wa Ligi Kuu Tanania bara na michuano mingine ya kimataifa. Nani anafaa kuwa nahodha wa timu?
Udhamini huo pia uliambatana na zawadi za washindi wa ligi, ambao walipewa shilingi milioni 80.4, mshindi wa pili ,milioni 40.2, wa tatu 28.7, wan ne 22 na timu yenye nidhamu ilipata milioni 17.
John Mbise pia amepitia vilabu mbalimbali kama Mshikamano fc, Dodoma fc na Friends Rangers kwa nyakati tofauti.
Nani kutangazwa kwaajili ya kujiunga na Klabu ya Simba SC? Fuatilia hapa pia mara tu atakapotangazwa, tutamuongeza katika kikosi.
Chirwa alijiunga na Azam Fc akitokea klabu ya Yanga, bao lake katika fainali ya FA liliipa nafasi Azam kwenda Shirikisho.
Tunaendelea kujaza wachezaji ambao wanajiunga/kuongeza mikataba na vilabu vya Ligi Kuu kwa msimu wa Ligi Kuu 2019/20. Hii ni kwa mujibu wa taarifa tunazozipata kupitia klabu husika tu.
Katika mabadiliko yajayo ya katiba na uendeshwaji wa Yanga, tunataka kujua pia mtazamo wa mashabiki wa Yanga.
Balinya aliibuka mfungaji bora msimu uliopita katika Ligi Kuu ya Uganda akifunga jumla ya mabao yasiyopungua 21.
Hiki ndicho kikosi chetu bora cha Ligi Kuu Msimu wa 2018/19. Unaweza kutupa na kukipigia kura.
Kama tulivyokuwa tumewaripotia hapo awali kuhusu safari ya Etienne Ndayiragije kutoka KMC kwenda Azam Fc, hatimaye leo imetimia.