Ligi Kuu

Ligi Kuu

Akilimali kuwania nafasi Yanga SC

Yanga SC, ipo katika harakati za kufanya uchaguzi wa kujaza nafasi Mwenyekiti wa klabu hiyo, kuelekea huko tayari Katibu wa baraza la Wazee wa klabu hiyo, Ibrahim Akilimali, ameonesha nia ya kuitaka nafasi hiyo Akilimali ameonesha nia ya kuwania nafasi hiyo, iliyokosa mtu kwa muda mrefu tangu kujiuzuru kwa aliyekuwa...
Ligi KuuUhamisho

Singida Utd yaweka hadharani usajili wake!

Klabu ya Singida utd leo imezungumza na waandishi wa habari na kufafanua mambo mbalimbali yanayohusu klabu kuelekea fainali ya Azamsports FederationCup itayopigwa June 2 Arusha katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Moja ya habari kubwa ni kuweka wazi usajili wao msimu ujao huku ikiwapiga bao Yanga kwa mnyakua winga wa...
Ligi Kuu

Alliance yamkana Pappi, yaomba subra

Klabu ya soka ya Alliance School ya Jijini Mwanza imesema bado haijatangaza kocha mkuu licha ya taarifa kuonea kuwa tayari wameshaingia mkataba na kocha wa zamani wa timu ya Taifa ya Rwanda Pappi Kailanga. Afisa habari wa klabu hiyo Jackson Luka Mwafulango amesema ni kweli wamekusudia kubadilisha benchi la ufundi...
Ligi Kuu

Jezi namba moja ina gundu VPL!

Katika mchezo wa mpira wa miguu jezi namba moja inajulikana kwa matumizi ya mlinda mlango awapo uwanjani. Imezoeleka na ipo hivyo kuwa kila wakati anaevaa namba moja ndie mlinda mlango wa timu. Ingawa huwa kuna kipa namba mbili ambao hulazimika kuvaa namba nyingine katika jezi yake. Katika Ligi Kuu Bara...
Ligi Kuu

Azam yawapa wachezaji wake likizo ndefu

Uongozi wa klabu ya soka ya Azam FC umewapa likizo wachezaji wake hadi Julai 3 mwaka huu ikiwa ni siku moja toka walipoifunga Yanga mabao 3-1 katika mchezo wa mwisho wa ligi siku ya Jumatatu Mei 28, 2018. Akizungumza na wanahabari za michezo Japhary Idd Maganga amesema mbali na likizo...
Ligi Kuu

Wanachama ‘Pampalila’ washutumiwa kuishusha daraja Majimaji

Mchezaji wa zamani wa Majimaji ya Songea, Steven Mapunda ‘Garincha’ amewatumia lawama wanachama wajuaji wa klabu hiyo kuwa ndio chanzo kikubwa kwa timu hiyo kushuka daraja msimu huu. Mapunda ambaye msimu wa 2017/2018 ulipoanza alikuwa miongoni mwa wanaounda benchi la ufundi amesema kelele za wanachama ndio zilimeishusha daraja Majimaji kwani...
Ligi Kuu

Nyangi: Kumaliza chini ya Lipuli, Singida United ni aibu!

Katibu mkuu wa klabu ya soka ya Stand United Kenny Nyangi amesema klabu haijaridhishwa na nafasi ambayo wameishika katika msimu wa ligi kuu soka Tanzania Bara uliofikia tamati Jumatatu ya Mei 28, 2018. Nyangi amesema kama klabu ni lazima wajiulize kwanini wamemaliza katika nafasi ya chini kuliko timu za Lipuli...
Ligi KuuUhamisho

Adam Salamba amalizana na SimbaSc

Mshambuliaji wa Lipuli fc ya Iringa Adam Salamba ni rasmi sasa atajiunga na SimbaSc baada ya kukubali kusaini kandarasi na mabingwa hao wapya wa VPL. Mshambuliaji huyo anaesifika kwa matumizi ya nguvu amejiunga na klabu ya Simba kwa  mkataba wa miaka miwili huku akizoa donge la milioni 40 kwa kusaini...
Ligi KuuUhamisho

Marcel Kaheza na SimbaSc kwisha habari!

Mshambuliaji wa Majimaji Marcel Boniventure Kaheza "Rivaldo" mwenye mabao 13 katika VPL ni swala la muda tuu kupewa jezi ya Simba rasmi. Mchezaji huyo wa zamani Simba ni kama anarudi nyumbani baada ya kukitumikia kikosi hicho alipokua kinda akiwa Simba B, kabla ya kutolewa kwa mkopo kwenda Majimaji ilipopanda daraja...
1 56 57 58 59 60 74
Page 58 of 74
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz