Ligi Kuu

Ligi Kuu

Hizi ndizo tofauti kati ya Simba na Yanga msimu huu.

Msimu umemalizika, msimu ambao tumeshuhudia Simba ikibeba kombe kwa mara ya kwanza baada ya miaka mitano huku Yanga akipoteza ubingwa wake baada ya kuchukua kwa mara ya tatu mfululizo, zifuatazo ni tofauti ambazo zilionekana kati ya Simba na Yanga msimu huu. 1: Kipa vs Golikipa Yanga walikuwa na kipa wakati...
Ligi Kuu

Kuvaa koti zuri juu ya shati chakavu hakutoisaidia Yanga.

Hakuna kitendawili tena kwenye maisha ya Yanga, kwao wao maisha yao siyo fumbo tena kama tafasri halisi ya maisha ilivyo. Wanaishi kwenye maisha yaliyowazi, maisha ambayo yanawafanya wasiwepo katika dunia ya tambo na furaha. Wameshachagua dunia hii isiyopendwa na wengi, dunia ya huzuni na majonzi, dunia ya masimango na kubezwa...
Ligi Kuu

Viongozi Yanga SC wanapaswa kujitathimini

Habari za Jumatatu ewe mshabiki na mdau wa soka la Tanzania, ni matumaini yangu kuwa mzima afya kabisa.........Na hakika tunapaswa kumshukuru Mungu kwa kutuonesha siku nyingine kwa uwezo wake ndio maana tupo. Mengi mazuri ametufanyia likiwemo la kila Mwanadamu kumpa Upeo wake wa kufikiri ili aweze kuwaza awazacho.......katika hili hakuumba...
Ligi Kuu

KMC yamtangaza Etienne Ndayiragije kuwa kocha mkuu

Klabu ya soka ya Kinondoni Municipal Council ya Dar es Salaam imemtangaza kocha wa zamani wa Mbao FC Etienne Ndayiragije kuwa kocha mkuu kwa ajili ya msimu ujao wa ligi kuu soka Tanzania Bara. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Benjamin Sitta amesema wameamua...
Ligi Kuu

Rasmi: Himid Mkami aachana na Azam

Klabu ya soka ya Azam ya jijini Dar es Salaam imethibitisha kuachana na kiungo Himid Mao Mkami ambaye amekulia katika klabu hiyo baada ya kudumu kwa takribani miaka 10 tangu akiwa timu za vijana. Taarifa za kuachana na Himid Mao, zimetolewa na afisa habari wa klabu hiyo Japhary Idd Maganga...
Ligi KuuUhamisho

Yondani kashamalizana nao!

Beki wa kutumainiwa wa mabingwa wa zamani wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara Yanga SC, Kelvin Patrick Yondan, amemalizana na uongozi wa klabu hiyo baada ya kusaini mkataba hii leo Yondan, amemaliza tetesi iliyoenea kwa takribani wiki mbili kuhusiana na yeye kuondoka kunako klabu hiyo huku akihusiswa kujiunga na...
Ligi Kuu

Mdogo wake Drogba afanya majaribio Biashara United

Klabu ya soka ya Biashara United ya mkoani Mara imeonesha haina utani kabisa pale linapokuja suala la maandalizi kwa ajili ya msimu ujao wa ligi kuu soka Tanzania Bara, kwani mpaka sasa imewaruhusu wachezaji watatu kutoka nchi za Ivory Coast, Ghana na Nigeria kufanya majaribio. Meneja wa klabu hiyo Amani...
Ligi Kuu

Azam FC, yaweka mambo adharani

Uongozi wa Azam FC, leo umemtangaza rasmi Hans Van Der Pluijm kuwa Kocha wake mkuu kuchukua mahala kwa Aristika Cioaba aliyetimka kunako klabu hiyo Pluijm, anajiunga na Azam FC akitokea Singida United aliyoiwezesha kucheza fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho maarufu kama Azam Sports Federation Cup Azam FC, walikuwa...
1 55 56 57 58 59 74
Page 57 of 74
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz