Uitwaji wa Kikosi cha Stars na jinsi kikosi hicho kinavyocheza, wadau wa soka wamekuwa wakimlaumu Amunike, na wengine kusema ilibidi aondoke baada ya kufuzu tu. Je hiki kisa unakikumbuka?
Simba na Yanga wamejitoa katika mashindano ya Kagame Cup kwa sababu mbalimbali na kuifanya Tanzania iwe na mwakilishi mmoja tu ambaye ni Azam FC.
Yanga imetoa sababu nyingi za wao kujitoa katika mashindano hayo ambayo yanatarijiwa kuanza mwezi wa 7 mwaka huu, sababu ambazo zimeifanya Yanga kujitoa ni zifuatazo.
Wachezaji 32 wapo kwenye Kambi huko Misri ambapo watachujwa na kubaki wachezaji 23 kwaajili ya mashindano ya AFCON.
Ikumbukwe pia klabu ya Yanga ilipata mwaliko katika michuano hii na kuupokea kwa furaha zaidi.
Michuano hiyo itafanyika katika nchi ya Rwanda ambapo Yanga atakuwa kama timu mwalikwa kwenye michuano hiyo.
Mabao mawili kutoka kwa Mo Salah na Orig, yameipa kombe la sita la Ligi ya Mabingwa Ulaya katika jiji la Madrid.
Azam Fc itawakilisha Tanzania katika michuano ya Ligi ya Shirikisho Afrika
Sevilla walioletwa nchini ni Sportpesa wanakuja kucheza na mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba Sports Club mchezo wa kirafiki wa kimataifa nchini.
Ndemla amekua akitumika kama kiungo wa chini kwa sasa na mwalimu Patrick Aussems hivyo basi katika mchezo dhidi ya Sevilla huenda akawa katika kikosi cha kwanza na kukutana na nahodha wa Sevilla.