Paschal Wawa kuwakosa TP Mazembe.
Simba inaondoka leo hii kuelekea Lubumbashi nchini Congo….Stori zaidi.
Simba inaondoka leo hii kuelekea Lubumbashi nchini Congo….Stori zaidi.
John Bocco alikosa penati muhimu wakati Simba ilipoikaribisha TP Mazembe jijini Dar es Salaam.
Klabu ya Simba leo imeweka wazi wachezaji 20 wataokwenda Lubumbashi kwenye mchezo wa marudiano dhidi ya TP Mazembe!
Mfumo huu hutegemea utimamu wa viungo watatu wa kati ili kuleta “fluidity na Flexibility” ya timu . Timu itakuwa na uwezo wa kumiliki mpira, kukaba na kuufikisha mpira eneo wanalotaka.
Hivi hapa ni vipaji vitano ambavyo vinaonekana ni bora na hatari katika michuano hii.
TP Mazembe chini ya kocha Pamhile Mihayo Kazembe, inashika nafasi ya 2 katika msimamo wa Linafoot ikiwa na alama 58 wakicheza michezo 23 nyuma ya vinara AS Club Vita wenye alama 65 katika nafasi ya kwanza wakicheza michezo 25.
#NaniAtavaaJeziYaBlue? itakuwa inadokeza kwa ufupi tu nani ambaye anaweza kujumuishwa katika kikosi cha Stars kuelekea AFCON. Huu ni mtazamo tu.
Timu ya Cameroon tayari imewasili nchini iliwa tayari kabisa kushiriki michuano ya Afcon kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 inayofanyika Tanzania kwa mara ya kwanza.
Kelvin John alikuwa mfungaji bora wa mi chuano ya CECAFA kwenye michuano ya vijana walio chini ya umri wa miaka 17.
Barua ya Simba bado haijajibiwa na CAF kuhusu mwamuzi kubadilishwa.