AFCON U17: Ratiba na Makundi pitia hapa
Michuano ya AFCON kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 itaanza tarehe 14. Hii hapa ratiba na makundi.
Michuano ya AFCON kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 itaanza tarehe 14. Hii hapa ratiba na makundi.
Ni wachezaji watatu tu bado wapo na klabu ya Man Utd wakati Fc Barcelona ikikutana na Man Utd jumatano hii ambao walikuwepo mara ya mwisho.
Dembele amejiunga kwenye kikosi kinachosafiri kuelekea jijini Manchester kwaajili ya mechi hii kali.
Maamuzi yake kwrnye moja ya mechi yalisababishwa asimamishwe ili kupisha uchunguzi mwishoni mwa mwaka jana.
Waamuzi wote wameondolewa na kuletwa waamuzi wapya kabisa. Mabadiliko ya tija yoyote? tusubirie mchezo tu.
Mchezo uliopita Simba ilitoka sare tasa katika uwanja wa Taifa, ushindi wowote ule ugenini utaipeleka Simba SC hatua inayofuata. Tupe maoni yako.
Vyombo mbalimbali vya habari nchini Morocco vimeripoti kwamba….Stori zaidi.
Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF) siku ya….Stori zaidi.
Tusiwalaumu kabisa. Najua jana John Bocco alikosa nafasi tatu za wazi ikiwemo penati. Nafasi ambazo zinaweza kumgombanisha na mashabiki.
Tazama matukio katika picha baada ya mechi ya robo fainali kati ya Simba vs TP Mazembe.