Hii ndio Taifa Stars!
Picha za mechi ya leo ambayo imemalizika kwa Tanzania kufuzu kwa mara ya pili kombe la mataifa ya Afrika
Picha za mechi ya leo ambayo imemalizika kwa Tanzania kufuzu kwa mara ya pili kombe la mataifa ya Afrika
Wachezaji wa zamani wa Taifa Stars waliwauliza pia wachezaji wanaoenda kupambana na Uganda kesho swali hili
Nini kimesababisha Mwana FA aseme maneno haya? na je unayaunga mkono?
Kina Iddi Pazi, Peter Tino na Athumani Chama walikuepo Taifa kuwapa maneno ya ushindi kina Msuva, Samata, Yondani na wenzie.
Tuhuma nzito zashushwa dhidi ya klabu ya Simba Sc katika mchezo uliochezwa jijini Dar
Wachezaji nyota Ulimwenguni Cristiano Ronaldo na Lionel Messi….Stori zaidi.
Mwaka 1980 fainali za 12 za mataifa ya….Stori zaidi.
Mshindi wa kwanza wa kundi alilokuwepo Simba, Al Alhly ya Misri imepangwa kucheza na Mamelod Sundows ya nchini Afrika Kusini
Ratiba ya Robo fainali itapangwa leo. Simba kuangukia kwa nani? Jibu hili hapa
Hizi ni baadhi ya picha, wanasema ukikiongoza kitu lazima ukijue, na ndio maana kuna watu waliwahi kusema wakati wa uchaguzi mkuu wa TFF ‘Turudishieni Mpira wetu’.