Nyoni kukosa mechi ya kwanza Klabu Bingwa.
Simba itacheza mechi ya kwanza tarehe 12 Jijini Dar
Simba itacheza mechi ya kwanza tarehe 12 Jijini Dar
Michuano ya Mapinduzi inaendelea huko Zanzibar
Klabu ya soka ya Simba ya jijini Dar….Stori zaidi.
kwa hapa Tanzania unaweza kuifananisha na Azam Fc japo kila moja ina tofauti kwa mwingine. Kama tunavyojua hatua za timu kufikia hatua ya mwisho ya mashindano katika nchi ni mchakato.
Katika mshindano ya Afrika, Club Vita ilishawahi kuwa bingwa wa Klabu bingwa Afrika mara moja mwaka 1973, na mwaka huu imefika fainali katika mashindano ya shirikisho Afrika. Na katika mashindano ya Afrika Mashariki “Kagame Cup” ilishawahi kushika nafasi ya 3 mwaka 2012.
Simba kupangwa na nani Klabu Bingwa Afrika? Fuatilia hapa.
Kocha wa timu ya soka ya Mashujaa ya….Stori zaidi.
Kikosi cha timu ya Vijana chini ya Umri….Stori zaidi.
Chama cha soka mkoa wa Dar es Salaam….Stori zaidi.
Fuatilia hapa dondoo za makundi ya AFCON U17 2019. Shughuli hii inaletwa kwenu moja kwa moja kutoka Mlimani City, Dar es Salaam.