Ihefu: Tunaitaka nne bora!
John Mbise pia hakusita kutoa sababu zilizomfanya kuondoka katika timu ya Namungo fc
Kiungo Simba! Namungo wanastahili ubingwa FA.
Alimaliza kiungo huyo ambae kuna tetesi msimu ukimalizika huenda akatimikia nchini Estonia katika majaribio.
Kiungo Namungo: Mechi ya Yanga ni muhimu kwetu!
Tumejiandaa vizuri kwa ajili ya mechi zote zilizobaki kwenye Ligi sio tu mechi ya Yanga, isipokuwa mechi na Yanga ni muhimu sana kwetu kutokana na nafasi na alama zetu kati yetu
Kiungo Namungo anaitaka Ligi kwa hamu!
Tayari wote tupo kambini na tunaendelea na mazoezi ya nguvu kama kawaida chini ya walimu wetu wote.
Wasemavyo wachezaji juu ya janga la corona!
Tovuti ya Kandanda inakuletea maoni ya baadhi ya wachezaji wa Ligi Kuu na daraja la kwanza.
John Mbisse: Tunashukuru serikali kusimamisha Ligi.
Mapumziko haya yatazisaidia timu kuweza kupumzika kutokana na ugumu wa ratiba na pia kuweza kutulia kufanya marekebisho ya makosa yao.
Kiungo wa Simba amwaga wino Namungo fc
John Mbise pia amepitia vilabu mbalimbali kama Mshikamano fc, Dodoma fc na Friends Rangers kwa nyakati tofauti.