Licha ya ‘kufana’, kwanini Bocco na si Kagere mshambulizi bora Simba SC?
Klabu ya Simba SC iliwatunikia wachezaji wake tuzo mbalimbali usiku uliopita ikiwa ni muendelezo wa tuzo hizo zilizoanza kutolewa msimu uliopita chini ya mwekezaji mkuu wa klabu hiyo-tajiri, Mohamed Dewji ‘MO’.