Mkude ni rekodi juu ya rekodi katika “Derby” ya Kariakoo
Pia ni mhanga wa kadi nyekundu katika moja ya mechi za kariakoo derby pale Estadio de Mkapa Leo ananenda kutuendikia rekodi.
Fraga ni kipimo halisi cha umakini wa Simba ya Senzo!
Simba walimuacha okwi, James kotei Chuma, kipenzi cha Mashabiki, leo baadhi yao wanajutia uamuzi ule, kwanini kesho waruhusu Fraga aondoke?
Mkude tayari kuifwata Yanga!
Kocha Sven amekuwa akiwatumia Said Ndemla, Gerson Fraga na Mzamiru Yassin katika eneo analocheza Mkude ingawa kwenye mechi ya leo huenda akaanzishwa
Morrison na Mkude kumbe lao moja na TFF!
Wachezaji wawili nyota wa Simba na Yanga leo wamepokea hukumu zao kutoka Shirikisho la soka nchini TFF kutoka katika kamati ya nidhamu.
Mkude aanza mazoezi, nafasi yake apewa Ndemla!
Kwa mujibu wa daktari, Mkude hakuwa amepata jeraha kubwa kama ilivyodhaniwa na wengi na atakuwa nje ya uwanja kwa wiki mbili ili kupona kabisa.
Jonas Mkude apata majeraha
Kiungo wa Simba anayecheza eneo la kiungo cha kuzuia Jonas Mkude amepata majeraha katika mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC...
Mkude mechi imemshinda, kocha amkomalia Chama!
Baada ya Jonas Mkude kuumia na kutoka nje nafasi yake ilichukuliwa na Ibrahim Ajib Migomba.
Kuna hela za kina AJIB zinachukuliwa na kina Diamond
Ukikanyaga kwenye jukwaa la uwanja wa Taifa kutazama siku ambayo Simba au Yanga wanacheza utagundua kitu kimoja kikubwa , timu...
Kagere na Mkude hawaendi kokote -Manara
Kumekuwa na taarifa nyingi sana ambazo kuhusu baadhi ya wachezaji wa klabu ya Simba kuondoka Simba na kwenda kujiunga...
Mbinu za Aussems zipo miguuni mwa Kagere na Mzamiru tu!
Twende sawa, niambie maoni yako ni yepi, Je unakubaliana na mimi kuwa Kagere na Mzamiru ndio wachezaji wakutumainiwa zaidi ndani ya Msimbazi?