Narudia tena, ongea na Sure Boy akuhadithie maisha halisi ya kuichezea Azam FC. Ongea na Mudathir Yahya akueleze nini ugumu wa kuichezea Azam FC. Hivyo vigoli vyako 16, sasa hivi ungekuwa navyo 6 au 7
Licha ya utitiri wa wachezaji katika eneo la kiungo la Yanga lakini Mudathir ameweza kupambana na kupata nafasi ya mara kwa mara tena katika michezo yote ya mashindano yote wanayoshiriki Yanga.