archivePatrick Ausems

Blog

Aussem amethibitisha! sura ya binadamu, roho ya paka.

Kabla sijakupeleka mbali, kwanza vuta taswira ya paka, kisha mkaribishe kocha wa Simba SC, Patrick Aussem katika medulla ya ubongo wako kisha anza kumtafsiri kwa kukumbuka kama ndiye aliyeirudisha historia iliyoadimika kusikika kwa wekundu wa msimbazi na nchi kwa ujumla baada ya miaka 15 kabla ya kufuzu raundi ya makundi klabu bingwa barani Africa.
Blog

Ghafla nimemkumbuka Masoud Djuma

  Aliwah kujibebea mashabiki wengi sana hapa nchini kulingana na aina ya soka ambalo aliwahi kulionesha kwenye ligi yetu hii. Kipindi anaingia aliingia na mfumo ambao ulionekana mgeni sana kwenye ligi yetu, lakini ndiyo mfumo ambao ulikuwepo sokoni kwa kipindi hicho. Mfumo ambao ulikuwa unaendana na mabadiliko ya sasa ya...
Ligi Kuu

Kumbe Aussems hana noma yoyote na Masoud!

Kocha mkuu wa wekundu wa msimbazi Patrick Aussems ameshindwa kuweka wazi kuhusu taarifa ya ugomvi wake na kocha msaidizi Masoud Djuma hadi kufikia kushinikiza kuomba kocha huyo aondolewe kwenye kikosi chake. Aussems amesema hana taarifa zozote za ugomvi huo kwani kama zimekuwa zikiandikwa kwenye mitandao ya kijamii na magazeti nchini...
1 2
Page 1 of 2
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz