Auseems kutambulishwa Yanga
Kile kishindo alichotangaza msemaji wa Yanga Antonio Nuggas huenda ndio kanakaribia kutimia. Tuendelee kuweka bando tuu na kuendelea kufuatilia tovuti ya Kandanda kwa habari zaidi za usajili.
Kile kishindo alichotangaza msemaji wa Yanga Antonio Nuggas huenda ndio kanakaribia kutimia. Tuendelee kuweka bando tuu na kuendelea kufuatilia tovuti ya Kandanda kwa habari zaidi za usajili.
Tuanzie kwenye lugha ya picha hapo kwanini Eng Hersi na gumzo la jiji Morrison wamekutanisha viwiko?
Baada ya mshambuliaji wa Yanga , Bernard Morrison….Stori zaidi.
Mimi na wewe huenda tunasikia tetesi kuwa Benard Morrison amemwaga wino ndani ya Simba lakini tusiwe na ukweli, lakini hiki ndicho tunaweza kukwambia.
Hiyo tayari ni mada ndefu yenye mengi ndani yake, itoshe kumheshimu na kumpongeza mfumania nyavu huyo aliyefunzwa Azam akaja kufundisha Simba
Baada ya Yanga kuachana na wachezaji 14 mahasimu wao wakubwa Simba nao wanampango wa kuachana na baadhi ya wachezaji katika kikosi chao.
Moja ya tukio ambalo analikumbuka vizuri mwenyekiti wa zamani wa Simba, Ismael Aden Rage ni kitendo cha Yanga kumpora Mbuyu Twite katika uwanja wa Taifa.
Ame maarufu kama Varane anasifika kwa umbo lake kubwa lililojengeka, utulivu na uwezo mkubwa wa kucheza mipira ya juu. Katika Msimu huu uliomalizika yeye na Mwamunyeto wa walikua na pacha nzuri na kupelekea Coastal Union kutoka na “cleansheet” 13.
Baada ya klabu ya Yanga kuanza vurugu za usajili na Azam fc mashabiki wengi wa Simba wamekua wakisubiri kwa hamu kuona maboss wa Msimbazi wakijibu mapigo kwa kutambulisha nyota wapya
Kiungo Ibrahim Ajib aliekosa nafasi katika klabu ya Simba baada ya kurejea akitokea Yanga huenda akatolewa katika timu baada kushindwa kugombea nafasi mbele ya kina Chama, Luis, Kahata na Dilunga.