Yanga wachague kushindana na TP Mazembe au Simba!
Picha hii inachorwa kwa wino wa matumaini , wino ambao umejaa tabasamu kubwa sana kwa wana Yanga , tabasamu ambalo lina matumaini ya kuwa kesho yao ni bora .
Picha hii inachorwa kwa wino wa matumaini , wino ambao umejaa tabasamu kubwa sana kwa wana Yanga , tabasamu ambalo lina matumaini ya kuwa kesho yao ni bora .
amesema Bocco ni mtu mpole, imara na anajua anachokifanya na amekuwa akimkubali ndani na nje ya uwanja.
Kwa mujibu wa daktari, Mkude hakuwa amepata jeraha kubwa kama ilivyodhaniwa na wengi na atakuwa nje ya uwanja kwa wiki mbili ili kupona kabisa.
Jana kulikuwepo na mchezo ligi kuu Tanzania bara….Stori zaidi.
Wiki iliyopita baada ya Bernard Morrison kutopokea simu….Stori zaidi.
Tuanzie hapa , unakumbuka ile Simba ya Patrick….Stori zaidi.
Ruvu shooting ya Masau Bwire almanusura iwapapase Wekundu wa Msimbazu nyumbani!
Sisi tunampango wa kisayansi . Unajua sayansi haiongopi , kwa hiyo na sisi hatuna mipango ya kuongopa kwa sababu ya ukweli kuwa tutawafunga Simba Sc”. Alisema Masau Bwire.
Bernad Morrison ndilo jina ambalo kwa sasa ni….Stori zaidi.
Kiungo wa Simba anayecheza eneo la kiungo cha….Stori zaidi.