Meneja: Hakuna aliefika bei kwa Mwamunyeto.
Kama mchezaji mzawa yupo vizuri apewe haki yake tusifanye biashara kwa kujuana. Mpira hauna siri uwezo wa Bakari unaonekana uwanjani.
Kama mchezaji mzawa yupo vizuri apewe haki yake tusifanye biashara kwa kujuana. Mpira hauna siri uwezo wa Bakari unaonekana uwanjani.
Moja ya wachezaji ambao walifanikiwa kuwaonea Yanga SC….Stori zaidi.
Simba walitoa ahadi kwa mashabiki wao siku ya Jumamosi yakumleta mchezaji mmoja kati yao walitajwa hapo ili kuungana na wachezaji wengine watakaoingia kambini Jumatano.
Nae msemaji wa klabu ya Simba hakusita kuisifia tovuti yao na kuzungumzia ni rekodi klabu yake hiyo kumilki tovuti katika ukanda huu wa Afrika Mashariki.
Kama klabu tunafanya mipango yetu lakini hatuwezi kusema kila kitu. Hata hao wengine pia tunaangalia uwezekano wa kua nao.”
Tanzania ishawahi kubarikiwa washambuliaji wengi wazuri wa kati….Stori zaidi.
Ligi kuu Tanzania bara mpaka sasa hivi iko….Stori zaidi.
Basii ulee mtindo unarudi tena kuanzia Jumamosi hii ya tarehe 23 mwezi huu.
“Kuna klabu zingine zilikua zinanihitaji kama Horoya na Nkana Red Devils lakini sikwenda.
Vile ambavyo mashabiki wa United wanamuona Martial kama mchezaji mwenye kipaji cha hali ya juu na hajafika wanapotaka ndivyo ambavyo Ibrahim Ajib