Katika zoezi hilo alikuepo Afisa habari wa klabu ya Yanga Ali Kamwe ambae hakusita kuwaita Wananchi siku ya Jumapili ili kuwashangilia wachezaji wao na kuiteketeza TP Mazembe.
Picha hii inachorwa kwa wino wa matumaini , wino ambao umejaa tabasamu kubwa sana kwa wana Yanga , tabasamu ambalo lina matumaini ya kuwa kesho yao ni bora .
Samata mchezaji wa zamani wa African Lyon, Simba sc na TP Mazembe anakua Mtanzania wakwanza kucheza katika Ligii Kuu nchini Uingereza maarufu kama EPL.