Molinga akipungua kilo 4 ‘ataua watu’- Zahera
Mwinyi Zahera ameendelea kumtetea Molinga, je unadhani anaweza kuchukua viatu vya Makambo kiusahihi kabisa?
Mwinyi Zahera ameendelea kumtetea Molinga, je unadhani anaweza kuchukua viatu vya Makambo kiusahihi kabisa?
Mshambuliaji ambaye alimpendekeza yeye kama yeye kwa kuamini katika miguu yake. Lakini kadri muda unavyozidi kwenda hakuna cha kutisha kwenye miguu mizito ya David Molinga.
Nyanda amesema kwamba anaushangaa uongozi wa Yanga kuanza kulalama kupitia vyombo vya habari bila kupata taarifa rasmi ya shirikisho.
Kwenye michuano ya msimu huu, Simba wameondoshwa kwenye hatua ya awali dhidi ya UD Songo ya Msumbiji kwa goli la ugenini
Mpira wa Afrika una mambo mengi, hivi ndivyo walivyotaka Taifa Stars ibanane ndani ya basi hili.
Kwa upande wa Taifa Stars, wao wapo tayari nnje na ndani ya uwanja pia. Tayari kabisa kwa mchezo wa leo.
Yondani na Abdul wamelipwa na baadhi ya wanachama wa klabu ya Yanga na sio klabu tutawalipa wote ambao wanatudai.
“Wanasema ukishindwa kujipanga basi umejipanga kushindwa, sisi tumejipanga kushinda kabisa msimu huu.
Hapo kabla aliponda kambi ya Yanga iliyowekwa Arusha na Moshi, sasa kwa mikono miwili anaenda Mwanza
Nilipigiwa simu kutoka Congo wakati huo nikiwa Ufaransa kuwa David Molinga hana timu