TUANDIKIE TUKUWEKEE KWENYE TOVUTI
Wewe ni Shabiki wa Kandanda? Unaandika makala? Iwe kwaajili ya Timu yako ya Nje au Ndani! Au maoni yako tu.
Tutumie habari@kandanda.co.tz tutaihariri na kuiweka katika tovuti ya kandanda.co.tz
#KandandaChat
Kisaikolojia Burundi wameishashindwa kwao, wanapofika ugenini watakuwa wakiishi kwa kwa mashaka kama mwananchi aliyepeleka chakula cha mfungwa gerezani huku kikiwa kwenye mfuko wa plastiki (Rambo).
Mchezo wa awali wa fainali dhidi ya Waydad Casablanca ulimalizika kwa mabao 1-1 na mchezo wa pili ulivunjika baada ya utataa wa VAR (Video ya Usadizi kwa Mwaamuzi).
Siku hizi Taifa Stars ikicheza huwa nnawafikiria jamaa zangu wale wawili, Pierre Liquid na Bongo Zozo na fujo zao zisizoumiza! Naamini hawa huwa wanaumia sana kuliko sisi wote.
Kwa wanaosema Ever Barnega ni mchezaji wa kawaida, wajue tu kuwa Leo Messi ana jezi ya Lanzine sasa sijui Barnega na Lanzini nani ni mchezaji maarufu na mkubwa.