Thomas Mselemu

Msimamizi wa Tovuti
Thomas Mselemu, Mtaalamu wetu wa masuala ya masoko mwenye ujuzi wa kuchambua kandanda na kupiga picha pia, anaifanya familia ionekane familia. Kipaji chake na elimu anaitumia vyema kuiweka tovuti katika malengo yake.
Ligi Kuu

Yanga vs Singida, utamu wa mechi ulipo.

Ligi Kuu Bara inaendelea kwa mchezo mmoja katika uwanja wa Taifa jijini Dar és salaam, ambapo Yanga inayoshika nafasi ya pili  itaikaribisha Singida utd iliyopo nafasi ya tano katika ligi. Mchezo wa kesho unasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa pande zote kwa Yanga na Singida lakini pia na mashabiki wa...
Ligi Kuu

Simba hii haitanii, yaitwanga Mtibwa kwake.

Kikosi cha Simba kimeonyesha hakitanii na wanataka ubingwa kweli wa Tanzania Bara baada ya kupata ushindi dhidi ya timu ngumu ya Mtibwa Sugar katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro. Simba wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao moja na kupata point tatu muhimu kuelekea kutwaa ubingwa wa VPL. Goli lá Simba lililofungwa...
Shirikisho Afrika

CAF yawapiga Stop wachezaji Yanga!

Shirikisho lá soka barani África CAF, limewakumbusha Yangasc kutokuwatumia baadhi ya wachezaji kutokana na sababu za kinidhamu kuelekea mchezo wao wa kuwania nafasi ya makundi shirikisho Africa. Kelvin Yondani, Obrey Chirwa, Pappy Tshishimbi na Said Juma Makapu wote hawataweza kutumika katika mchezo wa Jumamosi dhidi ya Welayta Dicha ya Ethiopia....
Ligi Kuu

Simba safarini kuifwata Mtibwa Sugar!

Timu ya SimbaSc iliyocheza mchezo wake wa ligi dhidi ya Njombe Mji na kupata ushindi wa mabao mbili kwa sifuri, inatarajiwa kuondoka asubuhii hii kuelekea Iringa. Mchezo wao unaofwata wa ligi utakua ni Mtibwa Sugar ya Manungu Turiani watakaoikaribisha SimbaSc utakaopigwa katika dimba la Jamuhuri Morogoro. Kikosi cha Simba kitaweka...
Ligi Kuu

Mnyama atakata Njombe, aikimbia Yanga!

Klabu ya SimbaSc ya Dar es salaam imeendeleza wimbi la ushindi katika ligi kuu  (VPL) baada ya kuifunga Njombe Mji ya Njombe kwa mabao mawili kwa sifuri. Mchezo huo uliokua mgumu kwa pande zote mbili, huku kila timu ikipambana kupata matokeo ili kujiweka nafasi nzuri katika ligi kuu Bara. Alikua...
ASFC

Habari njema kwa mashabiki wa Mnyama

Habari nzuri kwa mashabiki wa SimbaSc kuelekea mchezo wao wa ligi dhidi ya Njombe Mji Ya Njombe katika harakati zao za kuwania ubingwa kiungo wao Jonas Mkude ameaza kufanya mazoezi baada ya jeraha lake la enka kupata nafuu. Jonas Mkude aliumia mazoezini baada ya kugongana na Yasin Mdhamiru katika uwanja...
ASFC

Yanga walizidiwa kila idara na Singida Utd!

  Mchezo wa soka kati ya Singida United dhidi ya Yanga sc umemalizika kwa Singida kupata ushindi wa penati 4-2 kufuatia sare ya 1-1 ndani ya dakika 90 za Mchezo. TATHIMINI! Nikianza na wenyeji Singida United ambao waliingia uwanjani wakitumia mfumo wa 4-4-2 flat. Hakika Singida United walikuwa bora sana...
ASFC

Yanga Kama Azam yafia Singida!

Timu ya Yanga imeyaaga mashindano ya Azamsports FederationCup baada ya kutolewa na Singida Utd kwa mikwaju ya penati baada ya kutoka sare ya bao moja kwa moja  katika dakika 90 za mchezo. Mchezo huo wa mwisho wa robo fainali uliopigwa Katika dimba la Namfua, Sasa unaifanya Yanga kutolewa na Kuungana...
Ligi Kuu

Simba kuiwahi Njombe Mji

Kikosi cha Simbasc kinachofanya mazoezi yake katika uwanja wa BokkoBeach Veteran kinatarajiwa kuondoka mapema mwishoni mwa wiki tayari kuwakabili wapinzani wao Njombe Mji ya Njombe, mchezo utakaopigwa katika dimba la Sabasaba. Kikosi cha Simba kitaondoka Jumamosi tarehe 31 asubuhi saa moja kwa njia ya barabara ili kuwahi Iringa kuzoea mazingira...
Uhamisho

Simba na Yanga Kumgombea kiungo wa Azam

Kiungo wa Timu ya taifa ya Zanzibar aliepo kwa mkopo Singida utd akitokea Azam fc Mudathir Yahya mkataba wake umefikia tamati na matajiri wa jiji Azamfc ulioisha tangu mwezi November mwaka jana. Afisa habari wa Azamfc Japhar Idd  amethibitisha kua mchezaji huyo amemaliza mkataba nao, hivyo yupo huru kusaini mkataba...
1 60 61 62 63 64 66
Page 62 of 66