Thomas Mselemu

Msimamizi wa Tovuti
Thomas Mselemu, Mtaalamu wetu wa masuala ya masoko mwenye ujuzi wa kuchambua kandanda na kupiga picha pia, anaifanya familia ionekane familia. Kipaji chake na elimu anaitumia vyema kuiweka tovuti katika malengo yake.
Ligi Kuu

Kocha wa Simba SC huyu hapa!

Klabu ya Simba inayo furaha kubwa kuwajulisha Wanachama na washabiki wake kwamba imempata kocha wake mkuu mpya,Mfaransa Pierre Lechantre, kwa mujibu wa taarifa kutoka msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara. Kocha huyo mzoefu ataanza kazi mara moja na atasaidiwa na kocha msaidizi wa sasa Masoud Djuma ambae alikuwa akikaimu...
EPL

” Nililia kuondoka Arsenal ” – Alexander Hleb

Alexander Hleb huenda likawa sio jina pekee kuingia kichwani pindi unapokumbuka timu ya mwaka 2006 ya Arsenal ambayo ilikaribia kutwaa taji la kwanza la UEFA katika Historia ya klabu. Lakini ilikuwa ndani ya Arsenal ambapo nyota huyo wa kimataifa wa Belarus alicheza kandanda safi katika maisha yake ya soka na...
Ligi Kuu

Pumzika kwa Amani Athuman Juma Chama “Jogoo”

Tasnia ya michezo ilipatwa na msiba wa mchezaji nguli Athumani Juma "Chama" a.k.a Jogoo mlinzi mahiri aliyepata kuitumikia Dar Young Africans na Timu ya Taifa. Nilikua nikitafuta muda wa kuelezea kwa ufupi umahiri wa huyu Marehemu wakati wa uhai wake, Athumani Juma alianzia Pamba ya Mwanza akihudumu kama beki wa...
Blog

Kinachomkuta Eboue wacha kimkute tu!

Kwanza nianze kwa kumshukuru Mungu mwingi wa rehma . Pili niwe mkweli sijawahi pata kuwa mwandishi kwa namna yoyote ile hivyo muniwie radhi kwa mapungufu yoyote ya kiuandishi . Kilichonisukuma kuandika ni kuhusu mchezaji mahiri wa soka mwenye mafanikio makubwa ndani na nje ya uwanja, Emmanuel Eboue. Taarifa zinaeleza, hivi...
Ligi Kuu

Simba wakanusha habari ya Okwi na Kwasi kuigomea.

Klabu ya Simba inapenda kukanusha taarifa iliyoandikwa na Gazeti la leo la Bingwa la tarehe 4-1-2018, iliyotoka na kichwa cha habari kikubwa kwenye ukurasa wake kwanza, iliyoandika OKWI, KWASI WAIGOMEA SIMBA. Taarifa hiyo inaeleza wachezaji hao Emmanuel Okwi na Asante kwasi hawatacheza hadi walipwe fedha zao za usajili. Kiukweli taarifa...
EPLLa LigaUhamisho

Coutinho njia nyeupe Barcelona

Huenda nyota wa klabu ya Liverpool, Mbrazili Philippe Coutinho akawa anaelekea katika klabu ya FC Barcelona kwa ada ya pauni milioni 133 kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari vingi. Klabu ya Liverpool inaangalia uwezekano wa kumpata Thomas Lemar kama mbadala wa Coutinho. Thomas Lemar anaangaliwa kuwa mbadala wa Phillipe Coutinho...
Kombe la Dunia

‘Msituumizie’ katika kombe la Dunia

Timu ya Taifa ya Uingereza itashiriki pia katika michuano ya kombe la dunia huko Urusi. Kocha mkuu wa kikosi hicho, Gareth Southgate, ameruhusu wachezaji wake kuongozana na Wake na Wapenzi  (WAGs -Wife and Girlfriends) wao katika michuano hiyo. Hapa tumekuwekea picha ya warembo mbali mbali ambao huenda wakawasindikiza nyota wa michuano...
1 62 63 64 65 66
Page 64 of 66