Taifa Stars itacheza mchezo wa marudiano dhidi ya Sudan nchini Sudan baada ya awali kuwepo taarifa ya mechi kuchezwa katika uwanja wa Nambole jijini Kampala nchini Uganda.
Kufika nusu fainali, na kuchuana na vilabu vikubwa kama TP Mazembe, Al ahly na Wydad Casablanca ndiyo yalikuwa malengo ya klabu. Klabu ilitenga bajeti kubwa ili kuhakikisha Simba inachukua