Mechi ya Sevila imekuja kipindi jua linazama utosini mwa Bocco
Nahisi Sevilla walitamani kumchukua jana lakini kikwazo kikubwa kilikuwa umri, na ndicho kitu ambacho kilimkwamisha Jana.
Nahisi Sevilla walitamani kumchukua jana lakini kikwazo kikubwa kilikuwa umri, na ndicho kitu ambacho kilimkwamisha Jana.
Ni dhahiri kabisa Aussems ataendelea kuongoza Mabingwa hao wa kibabe kabisa, ikiwa pamoja na kuzungumza naye mapungufu yake.
Heritier Makambo aliripotiwa kujiunga na klabu ya Horoya FC mwanzoni mwa mwezi huu.
Fuatilia dondoo mubashara hapa zikiletwa kwenu na Thomas Mselemu na Martin Kiyumbi moja kwa moja kutoka uwanja wa Taifa. Jiunge na mjadala na kuipongeza Simba SC kwa kutwaa ubingwa wa Ligi kuu.
Na Simba ilikuwa imara kuzidi Yanga kuanzia ndani na nje ya uwanja ndiyo maana waliweza kuhimili mbio za kina Philibert Bayi.
Kiungo wa zamani wa Barcelona na Manchester City….Stori zaidi.
Chanzo cha habari kinasema Ahmad Waziri alikua mzima kabisa kabla ya kuanza mazoezi ya kukimbia “Road Work” na wachezaji wenzake.
Kelvin John amekiri mwenyewe kuwa hafurahishwi na mashabiki kumuita Mbappe, na angependa afahamike kama Kelvin.
Mchezaji wa Serengeti Boys (Tanzania U17), Kelvin John ameiambia Kandanda kuwa alishindwa kuendelea na masomo yake kwa sababu ya kucheza mpira.
Kwa maendeleo ya kipaji chake na soka letu kwa sasa tunasubiri kujua Kelvin John ataelekea wapi, wakati mameneja wake wakiendelea lushughulikia swala lake kupitia Samuel Eto’o.