Manula kuikosa Mbao FC
Pamoja na kwamba ameelekea Morogoro, lakini hatokuwepo kwenye sehemu ya mchezo huo
Pamoja na kwamba ameelekea Morogoro, lakini hatokuwepo kwenye sehemu ya mchezo huo
Kikosi cha wekundu wa Msimbazi Simba Sports Club….Stori zaidi.
“Naomba niwape UPDATES za BUNJU baada ya Wiki 2 Uwanja wa Mazoezi utakuwa Tayari baada ya TAKUKURU kuziachia NYASI hizo baada ya Kukamilika kwa Uchunguzi wa Kesi ya Msingi”-CEO Crescentius Magori
Nini kimewafanya viongozi hawa wote wajiuzulu?
Klabu ya soka ya Mbao ya jijini Mwanza….Stori zaidi.
Simba inawakosa nyota wake kadhaa wakati ikitafuta ushindi muhimu Ligi Kuu
Popadic amekuwa mara kwa mara akilalamikia ukata katika klabu hiyo ukiachilia mbali waamuzi wa Ligi Kuu.
Hakika Yanga wanaweza kuwa ‘wanateseka’ sana na mafanikio ya Simba. Msiteseke sana..
Pamoja na kusemekana klabu haina hela lakini Yanga bado wanaendelea kupambana na kupata matokeo.
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imekutana jana Jumapili Machi 10,2019 na kupitia mashauri mbalimbali yaliyofikishwa kwenye Kamati hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti Wakili Kiomoni Kibamba.