David Ulomi: Azam imenisaidia kwenda Al-Hilal
"Walianza kunifwatilia muda tuu kumbe hata kabla ya kusaini Dodoma Jiji, waliniona na wakaomba video zangu wakatumiwa mechi nilizocheza na kocha akapendekeza jina langu kusajiliwa katika timu yake.
Kiungo akanusha kusaini Yanga!
Kiungo huyo ni miongoni mwa wachezaji saba wa msimu uliopita waliofunga Hatrick amesema yupo tayari kwenda klabu yoyote kikubwa ni mzigo tu wa maana ndio utakaoamua wapi atakwenda msimu ujao.
Baada ya kuia Yanga Bocco apewa zawadi yake na TFF!
Nahodha wa Simba sc Papaa John Raphael Bocco baada ya furaha ya kuifunga Yanga katika mchezo wa nusu fainali ya FA TFF ni kama wameendelea kumnogeshea sherehe
Kiungo Alliance: Sio bahati tumejipanga kweli!
Wamefanikiwa kufika hatua hiyo mara tatu mfululizo lakini wamejikuta wakishindwa kuendelea mbele na kutolewa hatua hiyo.
Simba yapata pakulipia kisasi kwa Yanga
Katika draw hiyo Simba na Yanga huenda zikakutana katika mchezo wa nusu fainali endapo watashinda mechi zao za robo fainali
Mrithi Mrisho Ngassa awe Dickson Ambundo
Mrisho Ngassa bado yupo Yanga , hana nguvu sana ukilinganisha na nguvu alizokuwa nazo misimu mingi iliyopita
Mshambuliaji Alliance: corona imetuongezea gharama.
Sisi kama wachezaji tunathamini kazi yetu na ukizingatia team yetu haipo katika hali nzuri tunahitaji kuibakiza katika ligi kila mmoja atafanya mazoezi atakapokuwa.
Makka asafiri na majeraha, kuinusuru Mwadui isishuke daraja.
Beki wa pembeni wa timu ya soka ya Mwadui ya mjini Shinyanga Miraji Makka amesema imembidi kusafiri na timu kuelekea jijini Dar es Salaam ili kupambana na kuisaidia timu hiyo kusalia kwenye ligi kuu msimu ujao watakapocheza na KMC.
Zahera- Alliance ni timu ya kufungwa 5-0
Yanga ilifanikiwa kushinda kwa mikwaju ya penati, Kindoki akiibuka shujaa siku hiyo.
Alliance FC iliyo bora imetolewa na Yanga dhaifu.
Wapenda soka wa Tanzania wataikosa timu bora katika michuano hii ya kombe la shirikisho. Tupe maoni yako...