Usiku wa Balaa!
Kwa sasa, jana na kesho Simba Sponga ndio babalao na ndio chuo kikuu cha soka bongo. Imefanikiwa kutinga robo fainali tena ya kombe la shirikisho. Balaa lake ni lipi? Soma hii.
Mechi mbili za Morrison bila goli , assist , bila kucheza vizuri !
Bernard Morrison mpaka sasa inaonekana anadaiwa na Simba
Tutamfukuza Morrison-MO DEWJI
Tajiri huyo amedai kuwa kwa sasa wameagiza vifaa ambavyo vitaweza kumwambia ni mchezaji yupi ambaye ni mzembe au ni mchezaji yupi ambaye anajituma.
Kwanini Morrison
Mimi na wewe huenda tunasikia tetesi kuwa Benard Morrison amemwaga wino ndani ya Simba lakini tusiwe na ukweli, lakini hiki ndicho tunaweza kukwambia.
Yanga kuachana na Bernard Morrison?
Taarifa za ndani ya klabu ya Yanga zinadai kuwa katika ile orodha ya wachezaji watakaoachwa na klabu ya Yanga na...
Bernard Morrison siyo muhimu -Bumbuli
Sakata la Bernard Morrison na klabu ya Yanga linazidi kupamba kila uchwao , leo hii Afisa habari wa Yanga ,...
Bernard Morrison ni majeruhi – NUGAZ
Habari ya kwanza ilianza kwa Bernard Morrison kushindwa kusafiri na timu kwenda Shinyanga , na alipopigiwa simu kwa ajili ya...
Morrison ni mali ya Yanga, Simba wanajisumbua
Wiki iliyopita baada ya Bernard Morrison kutopokea simu ya kocha mkuu wa Yanga , Luc Eymael na kushindwa kwenda Shinyanga...
Juma Mahadhi arejea kumpiga benchi Morrison !
Unaikumbuka mechi kati ya Yanga SC na TP Mazembe pale uwanja wa Taifa ? Mechi ambayo tajiri na aliyewahi kuwa...
Tuwaache tuu wachezaji wa kigeni wabaki 10
Vuta picha ligi bila udambwi wa Morrison, bila ukabaji wa Yakubu, bila mbwembwe za golikipa ‘handsomeboy.