Simba na Yanga kukutana tena mwezi huu.
Ratiba ya kombe la Azamsports Federation Cup imetolewa leo na Shirikisho la Soka nchini TFF huku pia wakitaja na viwanja vitakavyotumika katika michezo hiyo ya nusu fainali.
Simba waja leo mikono mitupu wataka kurudi leo na point tatu!
Natambua mchezo hautakuwa mwepesi kwa pande zote mbili wenyeji na wageni wao 'Wanalunyasi'. Kwanini basi utakuwa na ushindani mkubwa hivyo?
Lyanga mkali wa rekodi Coastal Union!
Tazama hapa rekodi zake akiwa na Klabu yake ya Coastal Union.
“First eleven” inayokaa benchi VPL!
Tovuti ya Kandanda inakuletea baadhi ya wachezaji ambao wamekosa ama wamepoteza nafasi katika vikosi vya kwanza vya timu zao,
Coastal Union yamuuza mshambuliaji wake Ulaya!
Timu hiyo imekua na rekodi nzuri katika Ligi ya kwao huku msimu ikishiriki Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya. Timu hiyo ilikua kundi B pamoja na vigogo Bayern Munich na Totenham Hotspurs.
Mbrazil avunja rekodi ya Coastal Union
Kwa matokeo hayo sasa Coastal Union wanabaki nafasi ya tatu wakiwa na alama zao 30 huku Simba wakiendelea kubaki kileleni wakiwa na alama 47.
Simba kukaa kileleni leo?
Mpaka sasa Simba ina alama 78 ikishika nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu Bara huku Yanga wakiwa kileleni na alama 80.
MZFA Watoa ufafanuzi, kutokuwapo kwa Ambulance Kirumba.
Chama cha soka mkoa wa Mwanza (MZFA) kimetolea ufafanuzi kuhusiana na kutokuwapo kwa gari la wagonjwa (Ambulance) kwenye uwanja wa...
Matukio ya picha katika mchezo wa KMC vs Coastal Union!
Kmc vs Coastal Union!
Coastal Union yamrudisha Mr. Freekick
Klabu ya Coastal Union ya jijini Tanga imefanikiwa kukiongozea nguvu kikosi chake baada ya kumrudisha mchezaji wao wa zamani Miraji...