Mashabiki Simba bado wana imani na timu yao!
Baada ya mchezo huo kumalizika mashabiki waliojitokeza uwanjani hapo walilizunguka gari lililobeba wachezaji wakiwashukuru kwa juhudi walizozionyesha msimu huu licha ya kuambulia kombe la Mapinduzi pekee.